From the recording Declare His Glory
Lyrics
Lyrics
Uhimidiwe
(1 Chronicles 29:10-13, Rev 5:9-13, Jude 1:25)
Uhimidiwe, Ewe Bwana, Mungu wetu
Baba-a yetu, wa milele (na milele).
Ukuu ni wako, na uweza, na utukufu,
Twa’shukuru na kulisifu, (Jina lako x3)
Uhimidiwe, Ewe Bwana, Mungu wetu
U mkuu-UU, Baba yetu, (Juu ya vyote)
Utajiri-i na heshima hutoka kwako
Twa’shukuru na kulisifu, (Jina lako x3)
Uhimidiwe x3
Ewe Bwana
X2
Uhimidiwe x6
Ewe Bwana
Uhimidiwe x6 (Uhimidiwe)
Ewe Bwana
Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama vile mbinguni.
Utupe leo chakula chetu cha kila siku.
Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’
Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu,
(Uhimidiwe Milele x3 Na Milele) x2
Baba, (Na Milele)
Uhimidiwe x3 (Na Milele)
Na Milele
Baba Uhimidiwe x3 (Uhimidiwe Milele x3)
Na Milele