From the recording Declare His Glory

Your price

Heshima kwa Bwana

Track download

Please choose a price: $ USD ($0.85 or more)

Please pay at least $0.85

Out of stock

Lyrics

Heshima Kwa Bwana (LYRICS)
Verse 1
Pokea Sifa, Utukufu, Mamlaka,
Uweza wote, sifa kuu, Heshima zote
Pre-chorus
Hakuna Mwingine,
Mwingine
Hakuna Mwingine
Isipokuwa Bwana x2
Isipokuwa Wewe.
Bwana
Chorus
Heshima x2
Heshima ni zako Bwana
Heshima x2
Heshima ni zako Bwana
Verse 2
Ni Nani (Nani) Anastahili
Kuvunja Mi-huri saba ya Kitabu Hicho
Hakuna (Hakuna) Mtu yeyote,
Mbinguni. wala duniani, hata chini Kuzimu
Pre-chorus
Hakuna Mwingine,
Mwingine
Hakuma Mwingine
Isipokuwa Bwana x2
Isipokuwa Wewe
Bwana

Hakuna Mwingine,
Mwingine
Hakuna Mwingine
Isipokuwa Bwana

Hakuna Mwingine,
Mwingine
Hakuna Mwingine
Isipokuwa Bwana
Bridge
Tazama Mwana Kondoo Simba wa Yuda
Alimwaga damu yake
Alikufa Msalabani
Ameshinda Kifo
Tazama Mwana Kondoo Simba wa Yuda
Alimwaga damu yake
Alikufa Msalabani
Ameshinda yote
Chorus
Heshima x2
Heshima ni zako Bwana
Heshima x2
Heshima ni zako Bwana
Pre-chorus
Hakuna Mwingine,
Mwingine
Hakuna Mwingine
Isipokuwa Bwana

Yesu Unaweza
Unaweza
Yesu Unaweza
Sifa Kwa Bwana x2
Sifa Kwa Wewe
Bwana

Yesu Umeshinda
Umeshinda
Yesu Umeshinda
Sifa Kwa Bwana x2
Sifa Kwa Wewe
Bwana